Kanuni 4 Za kujenga Mahusiano Bora ya Kimapenzi

Hakuna binadamu asiyefahamu nini maana ya mapenzi na kama wapo basi ni wachache sana na wanaweza kuwa hawafahamu kwa maneno lakini kivitendo wanakuwa wanafahamu aidha kwa kuona, kusikia na hata kwa wao wenyewe kushiriki kwenye mapenzi hayo.

Na hakuna binadamu yeyote asiyependa kupenda au kupendwa, wote tunapenda kupenda na pia tunapenda kupendwa in . Na siku zote ukipenda na usipopendwa pale unapopenda huwa inakuwa ni huzuni sana na wengine hufikia hatua mbaya sana za kufikiria mengine mengi tu ya hatari pale mapenzi yanapokuwa machungu kwao.

Hii ndio sababu wengi wetu huwa tunakaa pale tunapoona kweli kuna mapenzi na si kukaa pale ambapo unaona unadanganywa au kuzungushwa kila siku. Lakini kuna wakati tunaweza kujikuta hata pale tunapopenda na kupendwa pia panaharibika baada ya muda na kunakuwa na ugomvi na kukosa maelewano baina yenu na wakati mwingine usifahamu kwa nini hamuelewani au ukaelewa lakini ukakosa njia za kutatua.

Zifuatazo ni baadhi tu ya njia mbalimbali za kufanya ukae na mpenzi wako kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mkafurahia mapenzi yenu popote pale mtakapokuwa na mtakapoishi.

1. Kuwa na muonekano chanya kwa mpenzi wako.
Ukiwa ni mtu wa kuangalia mabaya/kasoro sana kwa mpenzi wako kuliko mazuri yake hautakuja kukaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu hata siku moja, utaendelea kubadilisha Wmwanaume/Wanawake kila siku na mwisho wa siku utajiona huna bahati kwenye mapenzi na wakati Unayeyaharibu mapenzi yako ni wewe Mwenyewe…kakuna asiye na kasoro (Ukiwemo Wewe Mwenyewe).

Kwa hiyo muonyeshe mpenzi wako mapenzi bora na umrekebishe pale anapokosea Bila Kuwa Na Lawama Mara Kwa Mara, Kuna Makosa Mengine Ni Hakuna binadamu asiyefahamu nini maana ya mapenzi na kama wapo basi ni wachache sana na wanaweza kuwa hawafahamu kwa maneno lakini kivitendo wanakuwa wanafahamu aidha kwa kuona, kusikia na hata kwa wao wenyewe kushiriki kwenye mapenzi hayo.

Na hakuna binadamu yeyote asiyependa kupenda au kupendwa, wote tunapenda kupenda na pia tunapenda kupendwa in return. Na siku zote ukipenda na usipopendwa pale unapopenda huwa inakuwa ni huzuni sana na wengine hufikia hatua mbaya sana za kufikiria mengine mengi tu ya hatari pale mapenzi yanapokuwa machungu kwao.

Hii ndio sababu wengi wetu huwa tunakaa pale tunapoona kweli kuna mapenzi na si kukaa pale ambapo unaona unadanganywa au kuzungushwa kila siku. Lakini kuna wakati tunaweza kujikuta hata pale tunapopenda na kupendwa pia panaharibika baada ya muda na kunakuwa na ugomvi na kukosa maelewano baina yenu na wakati mwingine usifahamu kwa nini hamuelewani au ukaelewa lakini ukakosa njia za kutatua.

Zifuatazo ni baadhi tu ya njia mbalimbali za kufanya ukae na mpenzi wako kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mkafurahia mapenzi yenu popote pale mtakapokuwa na mtakapoishi.

1. Samehe na kusahau.
Unapomsamehe mpenzi wako kwa kosa lolote alilokosa basi hakikisha umemsamehe kiukweli na ujitahidi kusahau kosa alilotenda itasaidia uwe na amani ya moyo zaidi kuliko kumsamehe kwa usoni tu lakini moyoni ukawa na Donge bado, hii hupelekea kupunguza mapenzi kwa kiasi Fulani kwake na kujikosesha furaha ya mapenzi.Anapokosea siku nyingine usimkumbushe kosa lake la nyuma kwa sababu itamfanya ajione mwenye huzuni na ajione kuwa hakusamehewa.

2. Mpe nafasi na uhuru mpenzi wako.
Mnapokuwa kwenye mahusiano jitahidini kwa hali na mali kupeana nafasi/uhuru kwenye mambo mengi hasa yale ya kitaaluma zaidi na kimaisha.anapokwambia yupo kwenye kikao cha kikazi jaribu kumuelewa na umpe support ya kutosha kwenye kazi zake au biashara zake au hata masomo yake.usipende sana kulalamika pale anapochelewa kurudi kazini au kutoka kwenye biashara zake bali mpokee kwa upole na baada ya kupumzika ndipo muulize kwa upole na kimahaba zaidi kwanini siku hizi anachelewa sana kurudi au kwenye biashara zake au shuleni tofauti na zamani.
Hii itajenga zaidi kuliko kubomoa kwa kulalamika na kupayuka mbele yake na huku yeye akiwa hata hajapumzika na itamfanya siku nyingine aione nyumba chungu kitu ambacho si kizuri kwenu wote wawili.

3.  Mfanye mwenza wako ajivunie kuwa nawe kila wakati.
Hakikisha katika mapenzi yenu kila siku unamfanya mpenzi wako ajivunie kuwa nawe na hakikisha humfanyi ajute kwa kukuchagua wewe miongoni mwa wote aliowaona. Usijidanganye hata siku moja kuwa kwa kumpata tu na kwa yeye kukupenda basi hajaona mwingine wa kuweza kuwa naye. Wapo wengi sana anaoweza kuwa nao lakini amekuchagua wewe katika hao wote, kwa hiyo usimfanye aanze kuwafikiria wale wengine wanaomfuatilia kila siku na kumsumbua.Ukianza kumwacha aanze kuwafikiria wengine aidha kwa wewe kuwa unamkosesha amani ya mapenzi kila mara au kwa mengine mabaya ndani ya mapenzi basi ipo siku utaishia pabaya.

4. Msadie kwa khali na mali kila inapowezekana.
Kwenye mahusiano huwa kuna kupanda na kushuka miongoni mwa wapenzi na hasa kiuchumi na hata kisaikolojia. Hakuna kitu kizuri kwenye mapenzi kama mtu kupata tatizo na akasaidiwa na mpenzi wake katika hali ambayo hakuitegemea, namaanisha mpenzi wako akipata tatizo lolote hakikisha wewe ndo unakuwa wa kwanza kulifahamu na kulifanyia kazi.

Sio matatizo yote yanamalizwa kwa pesa so hata ushauri na kumpa mawazo chanya inasaidia sana na kumfanya awe na furaha kuwa nawe.Kama unampenda usione tabu kumsaidia kwa kuogopa kuonekana eti unahonga, huyo ni mpenzi wako kwa hiyo jiamini na umpe kile anachostahili kusaidiwa na mpenzi wake.

Yapo mambo mengi sana ambayo kama mkiyafanya kwenye mapenzi basi uhusiano wenu utakuwa wa kudumu na wenye furaha sana ingawa hapa nimezungumzia kwa uchache sana lakini nina imani itasaidia sana kwa wote walio kwenye mahusiano .

Mapenzi hayana ndumba au limbwata hata siku moja, unapoona wapenzi wengi wana furaha kwenye mapenzi yao ni kwa sababu wanavumiliana kwa mengi na kusameheana kwa mengi. Sana Na Unaweza Kuyarekebisha Kwa Kukaa Chini Na Mpenzi Wako Mkayamaliza Kwa Dakika 5 Tu Lakini Wengine Huwa Issue Kubwa Kwao Na Kusababisha Mwisho Mbaya. Kanuni sita (6) za kudumu katika mahusiano ya kimapenzi.

UMEUMIZWA PENZINI? CHUKUA CHUKUA MBADALA HUU HAPA WA SIRI YA USHINDI!

MAPENZI yanauma. Yanauma kwelikweli. Unapokuwa umewekeza nguvu, mwili na akili kwa mtu halafu ikatokea amekatisha safari ghafla huwa inauma.
Inauma sababu ulikuwa na maono ya mbali na penzi lako. Unaumia kwa sababu hukutegemea kama safari ya uhusiano wenu itaishia katika hatua hiyo. Inawezekana ulifikiri kwamba mngefika kwenye hatua ya ndoa lakini haikuwa hivyo.
Yawezekana ulikuwa na ndoto ya kuwa na familia, uitwe baba au mama. Ulikuwa unatamani kuzaa na mwanaume au mwanamke wa ndoto yako lakini kumbe sio.
Anaondoka kwenye kipindi ambacho wewe bado unamhitaji.
Leo nataka nikupe siri ya ushindi kupitia safu hii. Inapotokea umeumizwa penzini, unachotakiwa kufanya ni kutulia. Itulize akili yako vizuri na usiiweke kwenye mawazo hata kidogo. Muhimu ni kukubaliana na kitendo kilichotokea.
Kama mwanaume au mwanamke wako amekuacha, kubali. Ona kwamba kuna sababu za wewe kukuacha lakini usihangaike nazo sana wakati huo maana zitakutesa bure tu.
Kuanza kuwaza kwamba labda sijui amekuacha sababu wewe si mzuri, kwamba huna fedha, utaumia tu!
Kuwaza kwamba sijui una upungufu gani, sijui kwa nini ni wewe kila siku unaumizwa ni makosa makubwa.
Kubaliana na matokeo haraka. Ifanye
akili yako iwaze vitu vipya hata kama uliyekuwa naye ulimpenda kiasi gani.
Ameshaamua kukuacha, ana sababu zake hivyo ukiendelea kupigana kuzijua hizo sababu ni kazi bure. Muache aende na wewe utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuingia kwenye uhusiano mwingine hapo baadaye kama aliyekuacha hatajirudi.
Marafiki zangu, maisha ya uhusiano yana siri kubwa sana. Kila mmoja kwenye historia ya uhusiano na mwenzi wake anapitia mengi hadi kufikia hatua ya kuingia kwenye ndoa. Wakati mwingine inakuwa hata ni vigumu kujua kwamba atakayekuoa au kumuoa ni nani.
Unaingia na mtu kwenye uhusiano, mnaishi miaka miwili mitatu mnaachana. Unaingia kwenye uhusiano na mtu mwingine, mnaachana.
Unarudi kwa yule wa awali, mnakaa kipindi fulani lakini wapi. Kidudu mtu anaingia, uhusiano unayumba tena.
Unavurugwa mno. Unajiona kama huna bahati na unasahau kwamba maisha ya uhusiano ndivyo yalivyo. Unayekwenda kuingia naye kwenye ndoa wakati mwingine ni vigumu sana kumjua. Akili za kibinadamu mara nyingi zinatudanganya tu.
Ndugu zangu, licha ya kwamba sisi binadamu tuna macho yetu na akili lakini juu ya nani hasa unakwenda kuingia naye kwenye ndoa huwa ni Mungu ndiye ajuaye.
Mungu anatujua sisi tangu tukiwa matumboni mwa mama zetu. Anajua mahitaji ya maisha yetu kabla hata hatujamuomba.
Tunahangaika na dunia yetu hii ya uzuri wa sura. Tunapagawa na mambo ya kidunia lakini unganiko la ndoa alijuaye ni yeye pekee.
Unapoona kuna janga limetokea kwenye uhusiano wako, mshukuru Mungu tamka neno hili; ‘hili nalo litapita.’
Kama aliyekuacha amepangwa awe wako atakuwa. Kama hajapangwa basi atakuja ambaye ni sahihi. Cha msingi wewe sema tu na moyo wako. Tamka tena maneno haya; ‘ipo siku tu.’ Maneno hayo matatu ni muhimu katika mustakabali wa furaha yako.
Yatakufariji. Yatakutia nguvu ya kuendelea na maisha upya hata kama umeumia kiasi gani, utasema lazima maisha yaendelee.
Kataa kuwa mtu wa mateso kila siku. Usiwaze sababu kama huyo ameondoka na si wako basi amini kwamba ipo siku atakuja mtu sahihi.
Utashanga atakapokuja mambo yananyooka tu yenyewe bila hata kutumia nguvu nyingi. Mwezi wa kwanza wa pili mambo yanajipa. Mnaingia kwenye ndoa na maisha yanakuwa ni bambam.

KWELI MPENDE SANA LAKINI WEKA AKIBA KWANGU!

MAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo mwanamke ampende mwanaume. Hapo ndipo utaiona tamu ya penzi. Wataalamu wa masuala ya uhusiano wanakuambia pendo la kweli halifi (true love never dies).
Halifi kwa sababu linatoka moyoni. Anapomuweka mwenzake moyoni, hapo anakuwa tayari kwa lolote. Ni kama vile imani, inamshika kwelikweli.
Humwambii kitu. Kweli kuna raha yake mtu kama huyo kumpenda mwenzake kiasi hicho. Inapendeza zaidi pale tu anayependwa, naye akarejesha upendo huo. Tofauti na hapo, penzi linageuka mateso. Mmoja anampenda mwenzake, mwenzake hampendi.
Kwenye jamii zetu haya tunayaona, wapo wanaume ambao wanawapenda sana wapenzi wao, wanawake nao wanarejesha upendo. Wanathaminiana, wanajaliana kiasi cha kuzua gumzo hasa kwa wale ambao wanakosa penzi la kweli. Mtu anampenda mpenzi wake mpaka anaumwa. Anatamani kuwa naye kila wakati, anamuonesha kila linalopaswa kufanyika kudhihirisha upendo. Hapo ndiyo utasikia yale maneno ya ‘fulani na mpenzi wake wanapendana hadi raha’. Upendo unapofikia hatua hiyo, ndiyo pale zinapozaliwa kauli za ‘mimi siwezi kuishi bila ya yeye.’
Au kauli kama ‘maisha yangu si chochote bila yeye.’ Anamweka mpenzi wake katika fungu la kwamba likitokea la kutokea, ataumia sana. Yaani kwa jinsi alivyompenda, siku akiambiwa tuachane anachanganyikiwa. Hataamini kilichotokea. Anateseka kwa mwezi mmoja, miwili hata mwaka. Anaumia kwa sababu alimpenda kwa dhati mpenzi wake. Alimuweka moyoni.
Hapo ndipo kwenye kiini cha mada yangu, kama nilivyotangulia kusema katika kichwa cha habari, mpende mtu sana lakini ni muhimu kujifunza kuweka akiba. Kabla ya kufikia hatua ya kumuweka mtu moyoni, hakikisha kwamba unayetaka kumweka ni mtu sahihi?
UTAMJUAJE MTU SAHIHI?
Mara kadhaa nimekuwa nikisema, mtu sahihi utamjua kwa matendo yake. Unapokuwa kwenye hatua za awali za uhusiano, ni rahisi sana mtu kuficha ‘madhambi’ yake lakini hawezi kuficha kwa wakati wote. Atakuficha kwa miezi miwili mitatu lakini ndani ya mwaka mmoja au miwili utamjua tu.
CHEKECHA AKILI YAKO
Ruhusu akili yako ipambanue mambo yanayohusisha penzi lenu. Waza kwa kina kila hatua mnayopitia. Usimweke mtu moyoni kabla hujajiridhisha ana mapenzi ya dhati? Ana malengo na wewe? Hatamani tu kitu fulani kutoka kwako?
WEKA AKIBA
Katika kipindi cha awali, jifunze kuweka akiba. Muoneshe upendo, mjali na umthamini lakini katika akili yako weka akiba ndogo kwamba siku akisema hanitaki itakuwaje? Akisema kila mtu achukue njia yake itakuwaje? Akiondoka duniani je? Hutapagawa? Rafiki yangu, nakushauri. Kwa ustawi wa uhai wako ni vyema ukawa na akiba japo kiasi katika penzi lako. Hiyo ni kama tahadhari ambayo itakusaidia pindi litakapotokea la kutokea. Usiumie. Usichanganyikiwe na kujikuta ukipata matatizo yanayoweza kukuondoa duniani.
MAPENZI YANAUA
Ni kweli kabisa, tumeshuhudia matukio mengi ya watu kuuana kwa sababu ya usaliti, kwa sababu ya wivu na mambo mengine kama hayo. Maafa kama hayo yasingetokea kama wahusika wangekuwa wameweka akiba ya upendo.
PENDA TARATIBU
Usiingie mzimamzima katika mapenzi. Ingia kwa tahadhari. Hakikisha unacheza vizuri katika uhusiano wako, jitambue na usikubali kuchanganyikiwa sababu ya mapenzi. Upendo wa kweli unaishi. Mtaishi kwa muda mrefu mkisomana, mikishibana na mwishoni mtafikia kwenye hatua ya upendo wa kufa na kuzikana. Nikuache na nukuu hii kutoka kwa mwanamuziki raia wa Canada, Rufus Wainwright: “Life is a game and true love is a trophy” akiwa na maana, maisha ni mapambano na penzi la kweli ndiyo zawadi ya ushindi.

FAHAMU Siri Nzito Iliyoko Katika French Romance(+18)…Maalumu kwa Wakubwa Tu

Kama unadhani busu linalohusisha ndimi na mate ni kitu kidogo na cha kawaida basi fikiria mara mbili, yamkini unatenda tendo hili lakini hujui undani wake. Mtaalam mmoja alisema “In the mating game, a kiss is more than a kiss, it is a taste test”.
Mate ya binadamu yanahusisha chembechembe “molecules” kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, mara ndimi zenu zinapokutana “molecules” hizi hutuma ujumbe katika ubongo wa mwanaume na mwanamke.
Watafiti wamegundua kwamba kuna wingi wa “bioactive testosterone” katika mate ya mwanaume kuliko kwa mwanamke, hali hii huyapa mate ya mwanaume uwezo mkubwa wa kuamsha ndani ya ubongo wa mwanamke hamu na hisia kubwa za kufanya tendo la ndoa.

Nikinywa Pombe na Kuvuta Bangi ndio Napata Raha Sana Wakati wa Kufanya Mapenzi

Nadhani wapenzi wa hayo mambo hapo juu watakubaliana nami kuwa ukinywa pombe au kuvuta bangi na ukamkamata mwanamke hakika kunastarehe ya ajabu isiyo na mfano, konyagi ndio kiboko ya yote, kunywa konyagi halafu ugegede ndio mwanamke atalijua jiji.
Hata kama ni mgumu kiasi gani kufika kileleni lazima siku hiyo ataomba poo.
Kuna mwanamke wa kijaluo trembling alikuwa kila akienda na mwanaume haridhiki, Siku hiyo akaingia kwenye anga zangu nikiwa nimekunywa nusu mzinga wa konyagi na safari mbili, wee wee, alishinda anaongea kijaluo, hadi leo hataki kuniacha najiliavijisent vyake.
Kwa kweli konyagi na mapenzi ni sawa na pikipiki na petrol.
Wasiokunywa pombe wana hasara kubwa sana hapa duniani na hawajui mautamu tunayopata
Je wewe Kwako ikoje ?

Raha ya Kufanya Mapenzi Sehemu Hatarishi zisizo Sahihi..

Wimbi la Watu Kufanya Mapenzi kwenye Magari hapa Mjini mchana kweupe limeongezeka kwa kasi…Hapa namaanisha kufanya mapenzi katika maeneo hatarishi na siyo mapenzi hatarishi,yan kufanyia mapenzi maeneo ambayo hayakupi utulivu wa asilimia mia,na maeneo hayo ni kama vile kufanyia mapenzi ofisini au choo cha ofisi, Beach disco,kwenye siti ya nyuma ya bus la public,vichochoroni, Kwenye Gari nk,hivi wapendwa huwa ujasili unatoka wapi?
Na je kufanya mapenzi sehemu hizi kuna raha zaidi ya kufanya kwenye chumba?

MASWALI MENGINE YA KINDANI ZAIDI YA KUULIZA  UNAPOKUWA NA MTU ANAYEKUTHAMINI.

 

 

41.Ukipoteza  nguvu zako wakati wa usiku , je  ni kitu  kipi utanieleza ili niridhike?

42.Ni sehemu gani ya mwili wangu , macho yako yakiona utashangaa kama hujawahi kuniona nikiwa uchi?

43.Umewahi kusikia mwili wangu ukinuka?

44.kama nakuhitaji, natupo pamoja wakati huo, unawezaje kunielewa, wengine husema unawezaje kunisoma,je unafikiri utajua dalili?

45.umewahi kuota uko na mwanamke ukifanya mapenzi?

46.umewahi kucheza kama dactari wakati wa utoto?

47. ni aina gani ya mapenzi ungependa kuwa nayo katika maisha yako?

48.Umewahi kufumwa ukiwa uchi?

49.je una uzoefu gani katika mahusiano?

50.unaweza kuniambia vitu  vya kuchekesha ulivyofanya wakati wa utoto?

51.Kama ungetaka kubadili jinsia ni sehemu ipi ungependelea,na kwa nini?

52.Kuna siri yeyote hujaniambia?

53.UTU. je unafikiri umbo la mtu lina tatizo katika mahusiano?

54.tukipata watotro mimi na wewe ungependa  watoto wetu wafuate tabia zetu?

55.unapenda staili ipi ya chini au ya juu?

56. umewahi kumpiga mtu kofi?

57.je wewe ni mkweli?

58.kitu gani unachokipenda ambacho hujawahi kuniambia?

60 .Nikimwangalia mwanaume mwingine na kumsifia  utaudhika?je kuna tabia yeyote ya udanganyifu  ambayo hujaipenda kwangu?unaweza kuacha kitu unachokipenda kwa kumsaidia rafiki?

DALILI ZA KWAMBA HUYU KAUMBWA KWA AJILI YAKO

leo nimeona niwaeleze kuwa yawezekana wengi wenu mlikuwa hamjui kama wapenzi wenu wameumbwa kwa ajili yenu au la.

Kama unaamini kuwa huyo uliyenaye ni wa kufa na kuzikana, bas tazama baadhi ya dalili hizi;

1.Unamwamini.

2. Unamhurumia.

3. Unakasirika anaposengenywa.

4. Anaelewana na rafiki zako.

5. Unawasahau rafiki zako.

6. Unamsahau mpenzi wako wa zamani.

MAMBO 3 YAKUYAFAHAMU KUHUSIANA NA MPENZI WAKO

1.Anauwezo wa  kurekebisha kitu gani.
Huenda una mwenzi wako ambaye unapokuwa naye katika safari gari likipata pancha anauwezo wa kutengeneza hata bila kumwita fundi na kabadirisha tairi kisha mkaendelea na safari,Hata kama si tairi basi jua mwenzangu anaweza kufanya nini cha ziada ninapokuwa naye.Kuwa wengine hata bulb ikiharibika nyumbani atamwita fundi ambadilishie au hata nyoka anapoingia ndani mwingine huweza kukimbia au wote mkakimbia na kushindwa kutatua tatizo.Hapo tayari ni shida

2.Ni vema kujua Grupu la damu  ya mwenza wako.
Unaujua moyo wa mwenzi wako lakini hufahamu bloodtype yake.Wkati mwingine huwa tunaangalia tu vitu vingine na kusahau mambo ya msingi kama hili.

3.Ni mtu anayeweza kukusaidia

Mwanamke Subiri Uvuliwe, Usivue Mwenyewe

baadhi ya wanawake mnapokua faragha kukimbilia kuvua nguo, badala ya kusubiri kuvuliwa na mpenzi wake.
Jamani zile steps za kuvuana nguo zina raha yake na msisimko wa pekee, especially kutoa jeki, kufuli na boxer.
Nashangaa mtu mko ndani dakika nyingi mtu amevua nguo amevaa taulo.
Ikishindikana basi baki ata na kufuli kushusha kufuli ishara ya ushindi hasa inapofika kwenye magoti na visigino.