HII NDIO LIST YA VITU APENDAVYO MWANAMKE TOKA KWA MWANAUME….WAKUBWA TU PLZ

Wanaume yatupasa tujue kwamba hatupo peke yetu kitandani (I mean unapofanya mapenzi unakua na mwanamke wako) na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi ili wote muweze kufurahia jambo hilo na mapenzi hayo! Kuna baadhi ya mambo kama haya mambo matano yakitekelezwa kwa ufasaha basi nahisi yatafanya mwanamke wako achanganyikiwe zaidi kila saa na ajisikie furaha pindi umwambiapo suala la kwenda kitandani…..!

1: UWE WA MWISHO KUMALIZA…
Kawaida wanawake huchelewa sana kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, ni wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8 hazijafika!yaani kuna wale wenzangu na mimi waliokua adicted ma punyeto basi hata dk 3 anaweza asimalize akawa tayari amesha pees…

2: MAANDALIZI…..
Mapenzi yanahitaji maandalizi kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na kulainisha sehemu zake vizuri tayari kwa kuburudika! Endapo hautoweza kumuandaa vizuri mwanamke wako basi tendo zima hugeuka kuwa la maumivu, kutakuwa hakuna burudani yoyote pale zaidi ya misuguano ambayo itawaletea maumivu. Maandalizi mazuri pia ni njia nzuri ya kumsogeza mwanamke karibu na kilele.

3:CLITORIS (Kisimi)
ni sehemu kubwa sana ambayo misisimko huanzia.kama Ukidharau hicho kidude basi kwa hakika inatosha kabisa kumfanya mwanamke asiridhike!, pia kama unamuamini vizuri mpenzi wako basi tumia hata ulimi kuchezea hiyo sehemu, ila kama hamuaminiani basi kidole tu kinatosha kumfanya awe tayari kukaribia kilele, na kuna wengine ukiwanyonya vizuri hiyo shemu basi safari yao humalizia hapo hapo anakua amepees….

4:MAONGEZI YA MAHABA….
mwanamke anapenda sana haya maongezi!
Anapatwa na hamu sana anaposkia kuwa unatamani sana kumridhisha! Mwambie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba lengo lako ni kumpa utamu usio elezeka…

5:MUULIZE KITU GANI UMFANYIE MUWAPO KITANDANI….
Kila mwanamke anautofauti wake inapokuja kwenye suala zima la ngono. Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke wako anapenda kutoka kwako ni kumuuliza…. Udadisi wako unaweza pia kumfanya akutamani zaidi, jiamini uwapo mbele ya mpenzi wako, usiogope kuzungumza naye,kumweleza jinsi ufuraiavyo penzi lake,

CHA KUONGEZEA NI HIVI….
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke kimapenzi,unaweza kuwa mtanashati lakini kitandani zero, mapenzi ni udadisi na utundu zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *