Ukipata Mwanamke Mwenye Sifa Hizi 16 Usimwache

Hizi ni sifa halisi za mwanamke wa kweli

1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume.
8. Chanzo cha baraka ya familia.
9. Adui wa maadui wa familia.
10. Sauti ya familia.
11. Mponyaji wa familia yake na taifa.
12. Mlezi wa huduma.
13. Mkombozi wa familia na taifa.
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye.
15. Mwombezi wa familia, huduma na taifa.
16. Mficha siri wa Mungu

VUNJA UKIMYA: SIMULIZI YA MAPENZI

1st year

Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita “Bestfriend”nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo.
Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hiyo siku iliyopita.baada ya kumpa akasema “asante” na kushikana mikono na mimi.I wanted to tell her,i want her to know that i don’t want us to be just friends,i love her but i’m just to shy,and i don’t know why
2nd year
Simu yangu iliita,kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart,she asked me to come over because she didn’t want to be alone,kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji,as i sat next to her on the sofa,nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu.Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida,hivyo akaamua kwenda kulala,before akaniangalia na kuniambia “asante” na kunipa tabasamu tamu,i want to tell her to know that i don’t us to be just friends,i love her but i’m just too shy,and i dont know why.
3rd year
Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia “Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe campan katika tamasha la muziki leo usiku” kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi tutaenda pamoja just as “bestfriends”.hivyo tukaenda.
katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa,nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake,she saw me looking to her she smiled at me,i want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo,then she said to me “nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana” and she gave me a sweet smile.I want to tell her to know that i don’t us to be just friends,i love her but i’m just too shy,and i dont know why.
Graduation Day
siku,wiki kisha mwezi ukapita ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo,akiinuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya uchumi nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile,i wanted her to be mine,but she didn’t notice me like that,and i knew it.
kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao,alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali,na kulia pale nilipomkumbatia akainua kichwa chake na kuniambia “you are my bestfriend asante sana” i want to tell her to know that i don’t us to be just friends,i love her but i’m just too shy,and i dont know why.
Miaka michache baadae
Yule Msichana akiwa anaolewa sasa,nilimuangalia akisema “ndiyo nakubali ” and drive off to new life,kaolewa na mwanaume mwingine,i wanted her to be mine,but she didn’t see me like that,and i knew it.
but before she drove away,alikuja kwangu na kusema “asante sana” and kissed me on the cheek.I want to tell her to know that i dont us to be just friends,i love her but i’m just too shy,and i dont know why.
Kwenye Mazishi
Miaka ilipita i looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni “bestfriend” wangu,Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo’
Diary yake ilikuwa Ilikuwa ikisomeka hivi
I stare at him napenda awe wangu,but he doesn’t notice me like that,and i know it,i want to tell him,i want him to know that i dont want us to be just friends,i love him but i’m just to shy,and i dont know why.I wish he would tell me he loved me!
Nilipiga magoti huku nikilia nikijisemea moyoni i wish ningemwambia tu ukweli,nimeshachelewa sipo nae tena katangulia mbele za haki i cried!!
Vunja ukimya
Be free when you love someone kuwa muwazi pia.

Mwanamke Aliyekeketwa Je Huwa Anaridhika Kimapenzi?

Nataka kujua hawa dada zetu waliokeketwa wakiwa wadogo hawajitambui kipindi hicho je wanakabilianaje na swala la kuridhishwa kimapenzi.

Maana huwa nasikia ni wagumu sana kukojozwa kabisa sasa je wanaridhika? au bora liende na je wanakabilianaje na hili swala maana nasikia bado baadhi ya mikoa na makabila wanakeketwa kama wakurya, wanyaturu, warangi, wagogo, wanyakyusa nk.

Ingetakiwa watu maarufu wenye ushawishi pia wapigie vita huu ukeketaji kama kina wm maana nae ni si ni mnyaturu?

Ungekuwa wewe Ungefanyaje??….Jamaa Anamtaka Kimapenzi Mchumba wa mtu Kisa Kawasikia Usiku Wakifanya

Hii  story  nimekuta  inajadiliwa  sehemu  flani, nikaona  si  mbaya  nikusogezee  na  wewe  mdau.Jamaa  anasema  alikuwa  Lodge  na  mpenzi  wake  wamejipumzisha.
Kama  unavyojua  mambo  ya  Lodge, hasa  unapokuwa  na  mke  wako  au  mchumbaako, jamaa  anadai  walijiachia  vyakutosha  ili  mradi  tu  kila  mmoja  aifurahie  siku  hiyo…

Kumbe  purukushani  zao  za  chumbani  zilikuwa  zikitoka  mpaka  nje  ya  chumba, hali  iliyomfanya  mwanaume  mmoja  aliyekuwa  chumba  cha jirani  ashindwe  kulala.

Baada  ya  purukushani  hizo, jamaa  aliamua  kuchomoka  ili  akape  walau  bia  mbili  tatu  kujipooza  huku  akimfungia  mpenzi  wake  na  kutoka  na  funguo.

Yule  mwanaume wa  chumba  cha  jirani akaitumia  nafasi  hiyo  kumgongea  yule  mwanamke  akimtaka  ampooze  kidogo  maana  kawasikia.

Mwanamke  hakufungua  mlango, ndipo  jamaa  alipoamua  kuandika  barua  yenye  namba  yake  ya  simu  na  kuipitisha  chini  ya  mlango.

Hizi ni Dalili 11 Mpenzi Wako Anataka Akufanye Uwe Mke Wake…Soma Hapa

Ukiotea story kwenye vikao vya wanawake, utasikia wakisema wanaume wanaooa siku hizi wamekuwa wachache. Kwamba wengi tunapenda kuwachezea tu. Lakini wapo wanaume ambao wanataka kutulia na mwanamke mmoja na kumfanya awe mke wake. Sasa utajuaje kuwa boyfriend wako anakupenda kiasi cha kutaka uwe mke wake?

1. Huweka mipango ya baadaye

Anapoanza kuzungumza mipango yake ya baadaye, ni ishara kuwa angependa ajue mtazamo wako na mtazamo wako una uzito kwake.

2. Unaalikwa kwenye kila tukio

Unakuwa mtu wa pili kwenye kila matukio muhimu. Hii inamaanisha kuwa anakuona una umuhimu kwenye maisha yake. Anataka kukutambulisha kwa familia yake na kukufanya ujisikie kuwa na wewe ni sehemu yake.

3. Yuko Makini

Kama mpenzi wako anazingatia muda, ni lazima anakukubali sana. Pindi mwanaume anapokuwa kwenye uhusiano serious, atahakikisha kuwa mwanamke wake hamsubiri. Atahakikisha unajua kama atachelewa na hatokuchomesha mahindi.

4. Kuna ongezeko la ukaribu

Itaonekana kama mlipoanza kuwa pamoja. Mwanaume wako atakuwa karibu zaidi, kukushika mkono wakati unapika au kutumia muda kukufanyia massage wakati ukifanya kazi.

5. Anakumisi

6. Anakuona wewe pekee

Hawezi kukufanya ujisikie wivu kwa kuonesha kutamani wasichana wengine hata kama mkiwa sehemu yenye watu wengi

7. Anataka muishi pamoja

8. Hufunguka mambo mengi kwako

9. Hakimbii unapokuwa kwenye wakati mgumu

10. Hakuchoki

11. Anasema kuwa anataka kukuoa

fuatilia step izi jinsi ya kumfikisha mpenzi wako kileleni..

1.mpe maneno matamu okimtomasa kwa ulimi sikio lake kimahaba zaidi

2. pitisha ulimi wako shingoni kifuani, tumboni, mapajani ni ikibidi zama chumvini walau kwa dakika kumi hivi

3. tumia ulimi wako ipasavyo kutomasa kitovu chake

4. mnyonye lita kadhaa za mate na huku ukitumia ulimi wako ipasavyo kuuchanganya ulimi wake

5. papasa matiti yake huku ukifinya finya chouchu zake na peleka mdomo wako huku ukinyonya kama mtoto

6. zungusha viganja vyako karibu kila kona ya mwili wake bila kusahau kubisha binya sehemu za mbavu hips na makalio yake

7. chekea kisimi chake kwa vidole vyako au kwa ulimi ikiwezekana 8. mpe koni ya asili ajilambie kwa raha zake

9. muweke mkao mzuri wa kupokea zawadi yake

10. ingiza taratibu mti shimoni

Ushauri kwa Wasichana Single

Siku ya leo naomba nizungumze na wale wadada wote ambao hawajoelewa au kwa kibantu huitwa (single ladies).  Ewe mwanadada yapo mambo ya msingi ambayo unapaswa kuyafahamu kabla ya kuolewa na mambo hayo ni;
Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuolewa.
Usimsubiri mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume.
Achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza kufa pia.
Usiwe mtu wa kuendekeza kuzipokea na kuzijibu namba ngeni za simu hasa nyakati za usiku.. sio njia sahihi ya kupatia mpenzi.
Tengeneza mazingira ya kuilinda afya. Jitahidi Kunywa maji mengi na Chakula kwa diet achana na viofa ofa vya bure, vimesha waponza wenzio wengi mpaka sasa.
Vaa vizuri na kiheshima. Watu watavutiwa na wewe ulivyo kabla ya kuongea nawe

Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku basi ya pili inaweza kurudiwa saa 12 asubuhi.

Tatizo kubwa ni kwamba wanaume wengi huwaandaa wake zao kwa muda mchache au hawajui kabisa jinsi ya kuwaandaa wake zao kwa ajili ya tendo la ndoa, wengi wanaparamia kama vile wanavyoparamia baiskeli, pia wanaume hao hawajui kufuata hatua za kujizuia kuweza kuwahi ‘kufikisha mzigo melini’ na hatimaye kuwafanya wawe wa kwanza kufikisha mzigo na kushindwa kuwaridhisha wake zao.

Inadaiwa kuwa tatizo hili linatokana na wanaume wengi kuacha kula vyakula vya asili vinavyoweza kuwafanya wawe na nguvu muda wote, pia inadaiwa kuwa wanaume wengi hawafanyi mazoezi ambayo yangeweza kuwafanya wawe vizuri kitandani.

Wengi wa wanaume wanapokwenda kwa wataalam wa madawa ya asili wanakuwa hawajui tatizo lao hasa, ndio maana wapo wanaume wanaokimbilia kwenda kukuza ukubwa wa maumbile kwa kuamini kuwa majogoo yao yakiwa makubwa wanaweza kuwaridhisha wake zao, kitu ambacho ni uongo mkubwa.

Hawajui kuwa hata kama siraha zao ni ndogo wanaweza kuwafanya wake zao watosheke kwa kuwafanyia utundu na kujua jinsi ya kujizuia ili wasiwahishe mzigo bandarini kabla ya wake zao, wanashindwa kuwafanya wake zao wawahi kufikisha mzigo kabla yao.

Tatizo hili limesababisha wanaume wengi kudharauliwa na wake zao hata ndoa nyingi kuvunjika.

Nimechanganyikiwa Mke wangu na Dada wa Kazi Wanasagana

Yamenikuta Mie mwenzenu hata sijui nifanye nini ila kwa kifupi ni kuwa nimepata ushahidi bila chenga kuwa mke wangu na mfanyakazi wa ndani ama House Girl Wanasagana, Bado sijamwambia mke wangu kwamba najua kwa sababu hata sijui nianzie wapi ..ila ni kwamba juzi asubuhi nilipomaliza kujiandaa kwenda kazini nikatoka ndani ila nilisahau simu hivyo nikarudi kuichukua cha kushangaza nilimkuta mke wangu hayupo chumbani kwetu kwani nilimuacha amelala basi sikujali sana nikajua yupo chooni ila wakati nataka kutoka ndani nikawa nasikia makalele ya mihemeko ya mapenzi kwa mbali hapo ndipo nilipostuka na kunyemelea chumba cha house girl wetu na ambapo sauti zilikuwa zinatokea,

Nilichosikia hata sina hamu ila nikelele za ku do kabisa wakihamasishana wakijua wapo wenyewe ndani ya nyumba…kiufupi kilinishuka nikashindwa nifanye nini …Baada ya muda nilitoka nikaenda zangu kazini bila kufanya chochote huku nafikiria ni kitu gani nakosea mpaka mke wangu haridhiki na dozi yangu??  Isitoshe asubuhi hiyo hiyo nimetoka kumpa kimoja cha haja ….Embu nishaurini nifanye nini Jamani ??

HII NDIO LIST YA VITU APENDAVYO MWANAMKE TOKA KWA MWANAUME….WAKUBWA TU PLZ

Wanaume yatupasa tujue kwamba hatupo peke yetu kitandani (I mean unapofanya mapenzi unakua na mwanamke wako) na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi ili wote muweze kufurahia jambo hilo na mapenzi hayo! Kuna baadhi ya mambo kama haya mambo matano yakitekelezwa kwa ufasaha basi nahisi yatafanya mwanamke wako achanganyikiwe zaidi kila saa na ajisikie furaha pindi umwambiapo suala la kwenda kitandani…..!

1: UWE WA MWISHO KUMALIZA…
Kawaida wanawake huchelewa sana kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, ni wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8 hazijafika!yaani kuna wale wenzangu na mimi waliokua adicted ma punyeto basi hata dk 3 anaweza asimalize akawa tayari amesha pees…

2: MAANDALIZI…..
Mapenzi yanahitaji maandalizi kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na kulainisha sehemu zake vizuri tayari kwa kuburudika! Endapo hautoweza kumuandaa vizuri mwanamke wako basi tendo zima hugeuka kuwa la maumivu, kutakuwa hakuna burudani yoyote pale zaidi ya misuguano ambayo itawaletea maumivu. Maandalizi mazuri pia ni njia nzuri ya kumsogeza mwanamke karibu na kilele.

3:CLITORIS (Kisimi)
ni sehemu kubwa sana ambayo misisimko huanzia.kama Ukidharau hicho kidude basi kwa hakika inatosha kabisa kumfanya mwanamke asiridhike!, pia kama unamuamini vizuri mpenzi wako basi tumia hata ulimi kuchezea hiyo sehemu, ila kama hamuaminiani basi kidole tu kinatosha kumfanya awe tayari kukaribia kilele, na kuna wengine ukiwanyonya vizuri hiyo shemu basi safari yao humalizia hapo hapo anakua amepees….

4:MAONGEZI YA MAHABA….
mwanamke anapenda sana haya maongezi!
Anapatwa na hamu sana anaposkia kuwa unatamani sana kumridhisha! Mwambie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba lengo lako ni kumpa utamu usio elezeka…

5:MUULIZE KITU GANI UMFANYIE MUWAPO KITANDANI….
Kila mwanamke anautofauti wake inapokuja kwenye suala zima la ngono. Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke wako anapenda kutoka kwako ni kumuuliza…. Udadisi wako unaweza pia kumfanya akutamani zaidi, jiamini uwapo mbele ya mpenzi wako, usiogope kuzungumza naye,kumweleza jinsi ufuraiavyo penzi lake,

CHA KUONGEZEA NI HIVI….
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke kimapenzi,unaweza kuwa mtanashati lakini kitandani zero, mapenzi ni udadisi na utundu zaidi.