MAMBO 3 YAKUYAFAHAMU KUHUSIANA NA MPENZI WAKO

1.Anauwezo wa  kurekebisha kitu gani.
Huenda una mwenzi wako ambaye unapokuwa naye katika safari gari likipata pancha anauwezo wa kutengeneza hata bila kumwita fundi na kabadirisha tairi kisha mkaendelea na safari,Hata kama si tairi basi jua mwenzangu anaweza kufanya nini cha ziada ninapokuwa naye.Kuwa wengine hata bulb ikiharibika nyumbani atamwita fundi ambadilishie au hata nyoka anapoingia ndani mwingine huweza kukimbia au wote mkakimbia na kushindwa kutatua tatizo.Hapo tayari ni shida

2.Ni vema kujua Grupu la damu  ya mwenza wako.
Unaujua moyo wa mwenzi wako lakini hufahamu bloodtype yake.Wkati mwingine huwa tunaangalia tu vitu vingine na kusahau mambo ya msingi kama hili.

3.Ni mtu anayeweza kukusaidia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *