DALILI ZA KWAMBA HUYU KAUMBWA KWA AJILI YAKO

leo nimeona niwaeleze kuwa yawezekana wengi wenu mlikuwa hamjui kama wapenzi wenu wameumbwa kwa ajili yenu au la.

Kama unaamini kuwa huyo uliyenaye ni wa kufa na kuzikana, bas tazama baadhi ya dalili hizi;

1.Unamwamini.

2. Unamhurumia.

3. Unakasirika anaposengenywa.

4. Anaelewana na rafiki zako.

5. Unawasahau rafiki zako.

6. Unamsahau mpenzi wako wa zamani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *